Amazon cover image
Image from Amazon.com

Kamusi ya istilahi za isimu Kiswahili-Kiitaliano : Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano / Rosanna Tramutoli.

By: Material type: TextTextPublisher: Dar es Salaam [Tanzania] : Taasisi za Taaluma za Kiwahili, 2018Description: xxviii, 57p. ; 20cmISBN:
  • 9789976505863
  • 9976505868
Other title:
  • Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano
Subject(s): Genre/Form: DDC classification:
  • 22 496.39211 TRA
Summary: Hii ni kamusi ndogo ya isimu ya Kiswahili-Kiitaliano ambayo imeundwa na jumla ya istalahi 150 zinazotumika katika ufundishaji wa isimu ya Kiswahili. Kamusi hii imechapishwa kwa kuzingatia mkataba uliopo baina ya Chuo Kikuu cha Napoli na chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Lengo la kamusi hii ni kuwasaidia wanafunzi Waitaliano kuelewa na kuelezea dhana na istilahi za isimu zilizopo katika lugha ya Kiswahili. Istilahi zote zimetafsiriwa kwa Kiitalinao pia. Mifano ya Kiswahili imetafsiriwa pia kwa Kiitalinao au mara nyingine imelinganishwa na mifano inayofanana nayo kidhana au kimuundo.
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Item type Current library Collection Call number Status Barcode
Books Books CUoM Library General Stacks Language/Linguistics/Kiswahili Lugha 496.39211 TRA (Browse shelf(Opens below)) Available 00012105
Books Books CUoM Library General Stacks Language/Linguistics/Kiswahili Lugha 496.39211 TRA (Browse shelf(Opens below)) Available 00012104

Hii ni kamusi ndogo ya isimu ya Kiswahili-Kiitaliano ambayo imeundwa na jumla ya istalahi 150 zinazotumika katika ufundishaji wa isimu ya Kiswahili. Kamusi hii imechapishwa kwa kuzingatia mkataba uliopo baina ya Chuo Kikuu cha Napoli na chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Lengo la kamusi hii ni kuwasaidia wanafunzi Waitaliano kuelewa na kuelezea dhana na istilahi za isimu zilizopo katika lugha ya Kiswahili. Istilahi zote zimetafsiriwa kwa Kiitalinao pia. Mifano ya Kiswahili imetafsiriwa pia kwa Kiitalinao au mara nyingine imelinganishwa na mifano inayofanana nayo kidhana au kimuundo.

In Swahili and Italian.

There are no comments on this title.

to post a comment.
Share

CUoM © 2024. Catholic University of Mbeya.
P.O. Box 2622, Mbeya, Tanzania.
Phone: +255 252 504 240 | library@cuom.ac.tz | info@cuom.ac.tz|
Powered by Koha. Installed, Configured, and Customized by CUoM Library Staff, Technical Section