Kamusi ya istilahi za isimu Kiswahili-Kiitaliano : Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano /

Tramutoli, Rosanna,

Kamusi ya istilahi za isimu Kiswahili-Kiitaliano : Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano / Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano Rosanna Tramutoli. - xxviii, 57p. ; 20cm.

Hii ni kamusi ndogo ya isimu ya Kiswahili-Kiitaliano ambayo imeundwa na jumla ya istalahi 150 zinazotumika katika ufundishaji wa isimu ya Kiswahili. Kamusi hii imechapishwa kwa kuzingatia mkataba uliopo baina ya Chuo Kikuu cha Napoli na chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Lengo la kamusi hii ni kuwasaidia wanafunzi Waitaliano kuelewa na kuelezea dhana na istilahi za isimu zilizopo katika lugha ya Kiswahili. Istilahi zote zimetafsiriwa kwa Kiitalinao pia. Mifano ya Kiswahili imetafsiriwa pia kwa Kiitalinao au mara nyingine imelinganishwa na mifano inayofanana nayo kidhana au kimuundo.


In Swahili and Italian.

9789976505863 9976505868

2022324072


Linguistics--Terminology.
Swahili language--Italian.--Dictionaries
Linguistics
Swahili language


Dictionaries
Terminology

496.39211 TRA

CUoM © 2024. Catholic University of Mbeya.
P.O. Box 2622, Mbeya, Tanzania.
Phone: +255 252 504 240 | library@cuom.ac.tz | info@cuom.ac.tz|
Powered by Koha. Installed, Configured, and Customized by CUoM Library Staff, Technical Section