Riwaya ya Kiswahili : chimbuko na maendeleo yake / Mwenda Mbatiah.
Material type:
- 9789966510648
- 896.392 MBA 22
Item type | Current library | Collection | Call number | Status | Barcode | |
---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
CUoM Library General Stacks | Literature/Kiswahili Fasihi | 896.392 MBA (Browse shelf(Opens below)) | Available | 00010398 | |
![]() |
CUoM Library General Stacks | Literature/Kiswahili Fasihi | 896.392 MBA (Browse shelf(Opens below)) | Available | 00010399 |
Includes bibliography and index
Chimbuko na Maendeleo Yake ni kitabu ambacho kinachunguza kwa king kuzaliwa, kukua na kukomaa kwa riwaya ya Kiswahili. Kwa kutumia nadharia ya Sosholojia ya Fasihi, kinachota maarifa kutoka nyanja kama vile historic, uhakiki na isimujamii ill kuangazia muktadha na hatua za ukuaji no moendeleo ya riwaya ya Iliswahili.
Hiki ni kitabu ambacho kinaweka msingi mpya katika uwanja wa historia ya kifasihi kwa kujikita katika utanzu wa riwaya. Kwa kuzingatia maslahi ya walimu na wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, kimefanya uchanganuzi mpevu wa tungo zinazowakilisha hatua muhimu za moendeleo ya riwaya.
There are no comments on this title.