Misemo ya vyombo vya usafiri / Athumani S. Ponera na Idris S. Kikula

By: Contributor(s): Material type: TextTextPublication details: [Dodoma] : [Chuo Kikuu Cha Dodoma], [ca. 2017].Description: vi, 121p. : ill. ; 20cmSubject(s): DDC classification:
  • 22nd ed. 398.996392 PON
Summary: Tangu kuzuka kwa umiliki wa vyombo vya moto vya usafiri (mabasi, malori, pikipiki) kwa watu binafsi katika miaka ya 1990 nchini Tanzania, misemo kwa kiasi kikubwa imechupa kutoka katika majukwaa yake ya asili ya kanga, vihangaisho, vipepeo na makawa majumbani na kuhamia katika vyombo vya usafiri. Si tu misemo mipya imezuka bali hata ile misemo ya asili imepindwa na kutumiwa katika miktadha mipya. Waandishi wa semi za magari ni madereva, utingo au wamiliki wa vyombo hivyo. Tumebaini makundi matatu ya misemo katika data yetu, yaani misemo kongwe, misemo pindwa na misemo ibuka, kwa kuakisi nadharia za methali na misemo za Mieder & Litovkina (1999), Mieder (2007) na Litovkina (2011). Je, misemo hiyo ni mkondo wa fikra mpya za watu kama alivyotabiri Kezilahabi (1988, 1995)? Since the introduction of the private commercial motor transport services in Tanzania in the 1990s, the inscription of sayings has shifted from their mainly traditional platforms of female cotton wrap (Kanga), palm leaf food cover (kawa) or hand fan (kipepeo) onto the tailgate, sideboards or mudguards of commercial automobiles. The vehicle owners and/or their operators are inscribers of these automobile slogans. I analyze them in three forms: standard parodied and innovated sayings adopting the paremiological approaches by Mieder & Litovkina (1999), Mieder (2007), Litovkina (2011). Do these forms of car inscriptions fulfill the prediction by Kezilahabi (1988, 1995) on the imminent transformation of the Swahili sayings to become a platform for negotiation of people`s tumultuous life challenges and desires?
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Item type Current library Collection Call number Status Barcode
Books Books CUoM Library General Stacks Commerce/Customs 398.996392 PON (Browse shelf(Opens below)) Available 00010506

Includes bibliography

Tangu kuzuka kwa umiliki wa vyombo vya moto vya usafiri (mabasi, malori, pikipiki) kwa watu binafsi katika miaka ya 1990 nchini Tanzania, misemo kwa kiasi kikubwa imechupa kutoka katika majukwaa yake ya asili ya kanga, vihangaisho, vipepeo na makawa majumbani na kuhamia katika vyombo vya usafiri. Si tu misemo mipya imezuka bali hata ile misemo ya asili imepindwa na kutumiwa katika miktadha mipya. Waandishi wa semi za magari ni madereva, utingo au wamiliki wa vyombo hivyo. Tumebaini makundi matatu ya misemo katika data yetu, yaani misemo kongwe, misemo pindwa na misemo ibuka, kwa kuakisi nadharia za methali na misemo za Mieder & Litovkina (1999), Mieder (2007) na Litovkina (2011). Je, misemo hiyo ni mkondo wa fikra mpya za watu kama alivyotabiri Kezilahabi (1988, 1995)?

Since the introduction of the private commercial motor transport services in Tanzania in the 1990s, the inscription of sayings has shifted from their mainly traditional platforms of female cotton wrap (Kanga), palm leaf food cover (kawa) or hand fan (kipepeo) onto the tailgate, sideboards or mudguards of commercial automobiles. The vehicle owners and/or their operators are inscribers of these automobile slogans. I analyze them in three forms: standard parodied and innovated sayings adopting the paremiological approaches by Mieder & Litovkina (1999), Mieder (2007), Litovkina (2011). Do these forms of car inscriptions fulfill the prediction by Kezilahabi (1988, 1995) on the imminent transformation of the Swahili sayings to become a platform for negotiation of people`s tumultuous life challenges and desires?

There are no comments on this title.

to post a comment.
Share

CUoM © 2024. Catholic University of Mbeya.
P.O. Box 2622, Mbeya, Tanzania.
Phone: +255 252 504 240 | library@cuom.ac.tz | info@cuom.ac.tz|
Powered by Koha. Installed, Configured, and Customized by CUoM Library Staff, Technical Section