TY - BOOK AU - Tramutoli,Rosanna TI - Kamusi ya istilahi za isimu Kiswahili-Kiitaliano: Glossario della terminologia linguistica Swahili-Italiano SN - 9789976505863 U1 - 496.39211 TRA 22 PY - 2018/// CY - Dar es Salaam [Tanzania] PB - Taasisi za Taaluma za Kiwahili KW - Linguistics KW - Terminology KW - Swahili language KW - Dictionaries KW - Italian KW - fast N2 - Hii ni kamusi ndogo ya isimu ya Kiswahili-Kiitaliano ambayo imeundwa na jumla ya istalahi 150 zinazotumika katika ufundishaji wa isimu ya Kiswahili. Kamusi hii imechapishwa kwa kuzingatia mkataba uliopo baina ya Chuo Kikuu cha Napoli na chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Lengo la kamusi hii ni kuwasaidia wanafunzi Waitaliano kuelewa na kuelezea dhana na istilahi za isimu zilizopo katika lugha ya Kiswahili. Istilahi zote zimetafsiriwa kwa Kiitalinao pia. Mifano ya Kiswahili imetafsiriwa pia kwa Kiitalinao au mara nyingine imelinganishwa na mifano inayofanana nayo kidhana au kimuundo ER -