Kindija, Kulwa A.

Taaluma ya fonetiki-matamshi / Kulwa A. Kindija. - xvii, 323p. : ill. ; 20cm.

Fonolojia ni taaluma ya isimu inayochunguza mifumo ya sauti za kutamkwa zinazotumika katika lugha asilia mahususi za binadamu. Inapolinganishwa na fonetiki, inasisitizwa kuwa fonolojia ni tawi la isimu linalochunguza mifumo ya sauti za lugha mahsusi tu, kama vile sauti za Kiswahili, Kiingereza, Kigogo, n.k. Hata hivyo, wapo wanaisimu wanaoelekea kukubaliana kuwa kuna fonetiki ya lugha mahsusi pia, na kuna fonolojia ya jumla, na fonetiki ya lugha mahususi.


In Swahili.

9789987531325 9987531288

2012314461


fonetiki
Fonetiki matamshi
fonolojia

MLCS 2013/42819 (P)

496.39215 KIN