Tahakiki kidato cha 5 & 6 : ushairi, tamthilia, na riwaya /
Leonard Mbikilwa, Eliupendo W. Mbise
- 1st ed.
- Dar es Salaam : APE Network, 2017.
- v, 284 p. ; 25 cm.
Kitabu hiki kinaelezea utangulizi juu ya somo la fasihi, nadharia ya uhakiki wa riwaya, tamthilia na ushairi pamoja na vifupisho na tahakiki ya vitabu teule mbalimbali.